Mwenye nyumba ananitaka kimapenzi naombeni ushauri

Mwenye nyumba ananitaka kimapenzi naombeni ushauri

Nimekusoma m baba

Ila soma ramani kwanza. Wengine wanajifanya wanahitaji msaada kumbe wanatafuta uje kufumaniwa wakuibie vyako. Ila ka ni jitu la hovyo, lilevi halina mda wa kumkuna mamii saidia uinue uzao hapo.
Namjua jamaa, tena kijana kabisa na Mola amemjalia kipato. Tatizo mlevi komba, halafu wahuni wanam... akiwa mlevi. Baada ya kujitosheleza wanamleta kwa waifu hana nguo. Hii kitu ni kweli, sasa waifu kazi ni kulia tuuu mchana kutwa. Jamaa habadiliki. Unategemea maza ka huyu aache kuomba msaada wa kuliwazwa?
 
Umepanga kwa kigogo we noma,hilo limama we piga chini likikuzingua hama
 
Kaka kila lakher ila kumbuka mla huliwaa
 
Ni Kigogo mkubwa hapa town Anapamgisha nyumba hiyo hiyo anayoishi Anaishi na mkewe humo humo ndani
Mke anakugongea ili alale kwako mpaka asubuhi?Something does not add up

Erick Shigongo hapa mwanafunzi hana, ningekuwa salama ningekwambia tokaaaaa..kwani huna kingine cha kufanya kuliko kuandika hadithi kwenye hadithi?
 
Huyo anataka sababu ya kukupa notes kabla ya kod kuisha
 
kama anaishi na mumewe na anakuja kukugongea usiku alale kwako ina maana mumewe anaacha amemlewesha dawa ya usingizi ama anamuaga kwamba anakuja kwako?
 
Si uhame, kwani lazima kukaa nyumba ya mtu anaekusumbua. Pata hasira jenga yako hutasumbuliwa
 
Back
Top Bottom