Mwenye nyumba ananitaka kimapenzi naombeni ushauri

Mwenye nyumba ananitaka kimapenzi naombeni ushauri

Gun Jun Pyo

Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
26
Reaction score
4
Najitokeza kwenu wadau kuwaomba ushauri

Mimi ni kijana(mwanaume) mwenye nyumba wangu huyu mwanamama huwa ananisumbua sana ananitaka kimapenzi japo anamume wake anayeishi nae kwenye nyumba hiyohiyo niliyopanga.

Huwa anakuja kunigongea mlango usiku akitaka kulala chumbani kwangu naombeni msaada wadau nihame au nifanyeje maana mume wake ni mmoja wa vigogo wakubwa sana na akijua maisha yangu yatakuwa hatarini.

Naomba ushauri wenu
 
Uhame nini sasa ?Mwanaume anakimbia ndude? vipi bwana wewe.
 
Bamiza huyooo kisha uturejeshee mrejesho kama papuchi yake tamu
 
Nilikuwa nimejiandaa kukutukana ni kwa nini umechelewa kutembeza pumb niliposoma ni mke wa mtu na mumewe anakaa humohumo nikapiga breki za ghafla, utachezea kifiro mdogowangu!
 
Uwe muwzi utasaidika. Mumewe anakuwa wapi mpaka mama aje kuomba kulala kwako? Wanaume wengine shida tupu. Ameshagida mipombe yake huko anarudi amebebwa ka fuko la misumari na kutupwa hapo na dereva wake.

Linalala sebuleni huku mamaaa anadokolea macho mlango wako kule chumba cha uani. Anakuona unaangalia vipicha vyako vya kijinga kutoa hamu huku naye anakuangalia kisogo akitamani hata umwekee kibamia chako.

Nasema, msaidieeee. Amejichua vya kutosha, mwinulie hata kauzao weye asijezeeka bila hata kitoto cha kutuma maji mwe.
Wataka akulilie kivipi? Hapati huduma za ndani ila chakula tu.

Ukigonga hapo tu ujue, utakula bure, utalala bure na kuhamishwa hapo hata catapillar likiletwa atalikatakata ili ubaki. Haya nenda leo leo kaufungue mlango ila kulala asilale kwako arudi chumbani kwake ndo utamu hautaisha kamwe
 
Hivi hujaachaga hizi stori zako za kutunga wacha kufafutà kiki mpiga puchu mkubwa wewe eti ananitaka
unashindwa hata kubalance story.
 
Back
Top Bottom