Nyimbo za South Africa miaka ya 85 hadi 89 wakati artists wao wako juu zimekuwa adimu . Siku hizi ni huu ujinga tu wa makirikiri. Pat Shange alinikuna sana na vitu kama Shayile Time, Anytime Baby, I am not a Casanova, Sweet Mama, Love is like a banking account na Man oh Man.