Mwenye notice za mathematics & Chemistry A-level

sirnare

Senior Member
Nov 27, 2016
120
23
Habari za wakati huu wanajf!!!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Mimi ni mwanafunzi nasoma ordinary diploma in secondary education Chemistry & Mathematics lakini tunachofundishwa kinaenda na za A level hivyo kwa mwenye idea ya jinsi gani nitazipata hizo notice ani saidie au nitumie WhatsApp 0766922800
 
Mimi nauza kitabu Chand 2 Chemistry 15000/= na Calculator ya Pure Original na ni toleo jipya aina ya Casio 28,000/= bei ya dukani ni 32,000/= imetumika mwezi mmoja!kama kuna anayehitaji ani-pm

nipo Dar-es-Salaam
 
Nenda tHL
 
Mathematics nenda kwa MWARAMSHA (MWARAMY) yupo mtaa wa ndanda k/koo Chemistry nenda kwa ISSUE BOY mchikichini au NGAIZA
 
Habari za wakati huu wanajf!!!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Mimi ni mwanafunzi nasoma ordinary diploma in secondary education Chemistry & Mathematics lakini tunachofundishwa kinaenda na za A level hivyo kwa mwenye idea ya jinsi gani nitazipata hizo notice ani saidie au nitumie WhatsApp 0766922800
Mtoto kasoma usifananishe vitu vya advance na o'level tafuta vitu size yako usichoshe watu mitandaoni kwa vitu visivyo kusaidia.

Mimi nikiwa form two nilijikuta nasolve charles Law na calculation nyingine za advance lakini nyingi nilichemka sababu haikua level yangu.
Hata kama unasoma additional mathematics bt usilinganishe na pure hata kidogo tafuta vitabu na notes vya size yakoo

Mimi nina library ya notes,past papers maelfu na maelfu, vitabu zaid ya mia5 O'level na 178 vya advance nakushauri na zingatia hilo.
 
Ingia THL utapata kila kitu
 
Mimi nauza kitabu Chand 2 Chemistry 15000/= na Calculator ya Pure Original na ni toleo jipya aina ya Casio 28,000/= bei ya dukani ni 32,000/= imetumika mwezi mmoja!kama kuna anayehitaji ani-pm

nipo Dar-es-Salaam
Mambo VP? Mi nahitaji hicho kitabu cha chemistry-chand2.Niko Arusha ila next WK ntakuja dar.Tuwasiliane zaidi bas; 0752038964/0718038964 whatsapp,SMS or calls
 
Thl ZIPO shalo Sana skia tumia chand Ila ukitaka za vitini mcheki mandia yuko vizuri
 
Mambo VP? Mi nahitaji hicho kitabu cha chemistry-chand2.Niko Arusha ila next WK ntakuja dar.Tuwasiliane zaidi bas; 0752038964/0718038964 whatsapp,SMS or calls
Poa,haina noma pia kama kuna anayehitaji Calculator ya Pure mjulishe,bei inapunguzwa
 
Habari za wakati huu wanajf!!!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Mimi ni mwanafunzi nasoma ordinary diploma in secondary education Chemistry & Mathematics lakini tunachofundishwa kinaenda na za A level hivyo kwa mwenye idea ya jinsi gani nitazipata hizo notice ani saidie au nitumie WhatsApp 0766922800
Sasa we si ulishapita A level?
 
Mtoto kasoma usifananishe vitu vya advance na o'level tafuta vitu size yako usichoshe watu mitandaoni kwa vitu visivyo kusaidia.

Mimi nikiwa form two nilijikuta nasolve charles Law na calculation nyingine za advance lakini nyingi nilichemka sababu haikua level yangu.
Hata kama unasoma additional mathematics bt usilinganishe na pure hata kidogo tafuta vitabu na notes vya size yakoo

Mimi nina library ya notes,past papers maelfu na maelfu, vitabu zaid ya mia5 O'level na 178 vya advance nakushauri na zingatia hilo.
Kakwambia anachukua diploma sasa atasomaje tena vitu vya o-level??
 
Back
Top Bottom