Mwenye nia ya kuolewa

Mwenye nia ya kuolewa

ungetoa walau tusifa tuwili tutatu twa unaemtaka basi... au we huchagui imradi awe na papuchi
 
Hilo jina lako tuu mie hooooi..!!
 
sifa ni lazma mkuu! mweupe kidogo, umbo asiwe 1 bali 8, awe mcha MUNGU, awe hajazaa, asiwe bonge wala mrefu xana.
 
JINA LICKUTATIZE, kla mtu na jina lake na yote yanafaa 100% anaeangalia jina huyo siyo muolewaji hapo upo Neylu
 
Una gundu gani mpaka ukose wa kuoa unapokaa uje kubahatisha umu.... mbna watoto mang'anyu kibao kitaan wanatafuta waume
 
kuoa ni kuoa haijalsh umempata kwa njia gani! inaonekana ndg zako wote wameoa majiran zao. hakuna hata m1 aliyemtoa mbal
 
We tafuta unaowaona uko piga sound kajae ukapendako muoane.... ila umu unazuga mzee
 
Back
Top Bottom