Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Basi safi kama wee mzima mumy just mekumiss sijakusoma sana jf ndo maana!!
Mith u too, nipo bana sema naingia jf kimachale machale
Basi safi kama wee mzima mumy just mekumiss sijakusoma sana jf ndo maana!!
Mith u too, nipo bana sema naingia jf kimachale machale
Mkuu, weupe hata wa dukani? waambie wajue kabisa!
i'm not black, not whte. uref 168cm, nafanya kzi kampun bnafsNawewe tangaza qualitiies
Nakushauri shusha umri wa mwanamke...Tafuta Binti wa miaka 25-28....32 ni mingi sana...
Thanx mkuu kwa kunpa moyo! ntafurah sana nikmpataUtampata tu, single ladies wapo kibao...
Nakushauri shusha umri wa mwanamke...Tafuta Binti wa miaka 25-28....32 ni mingi sana...
Mbona mnawanyanyasa wadada over 30?
sifa ni lazma mkuu! mweupe kidogo, umbo asiwe 1 bali 8, awe mcha MUNGU, awe hajazaa, asiwe bonge wala mrefu xana.
ungetoa walau tusifa tuwili tutatu twa unaemtaka basi... au we huchagui imradi awe na papuchi
Nakushauri shusha umri wa mwanamke...Tafuta Binti wa miaka 25-28....32 ni mingi sana...