Mwenye namba ya Banza Stone!..

Maskini! He was a good musician. Asije aka-backslide into drugs!

Sidhani kama anaweza kurudi huko nilimsikia katika mahojiano fulani baada ya kuwa amepata hali nzuri alisema hatamani tena maisha ya kutumia madawa.
Banza bado bonge la musician hapa bongo sema havumi tu kama enzi zile za Achimenengule!...
 
wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu, tusimsimange Banza Stone

Mbona sioni kitufe cha kulike post yako?..

Umesema vema wote bado tuko safarini hakuna mtu ajuae kwamba atakufa bila kupatwa au kufanya jambo fulani ni

kumuomba Mungu aepushie mbali tu kwetu sisi na kuwaombea waliokwishapatwa na matatizo!...
 

Take it easy,imekuwa kawaida sana....usiogope
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…