Mwenye nakala ya Retirement benefits naomba aiweke hapa

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,403
74,019
Naomba mwenye waraka wa utumishi kuhusu masuala ya benefits baada ya compulsory retirement (60 yrs) anisaide hapa!

Kukusafirisha wanatumia formula gani wewe, spouse/children/mizigo...kwa ngazi ipi, tonnage etc.
 
Naomba mwenye waraka wa utumishi kuhusu masuala ya benefits baada ya compulsory retirement (60 yrs) anisaide hapa!
Kukusafirisha wanatumia formula gani wewe, spouse/children/mizigo...kwa ngazi ipi , tonnage etc etc
PAMOJA NA HILO, INAKUWAJE KWA ANAYESTAAFU KWA HIYARI YAANI MIAKA 55. JE CHINI YA MIAKA 55 INAWEZEKANA MTUMISHI WA UMMA AKASTAAFU, VIGEZO NI VIPI?
 
Nauli ni flat wewe , mwenzi na watoto.
Mizigo itatokana na cheo chako unachostaafia.
Pesa ya kufikia kama kawaida siku saba ambayo pia hesabu au kiwango hutokana na cheo ulichostaafia.
Kama hujaweka wazi vitu vyote tutakupigia vipi hesabu?
 
Chini ya miaka 55 haiwezekani kustaafu. Ila endapo daktari akatia neno kuwa kwa afya yako hutamweza kuendelea na majukumu utapumzishwa na taratibu zingine zitafuata ila hatutakuita mstaafu.
Sawa!!!🤪🤪🤪🤪
 
Nauli ni flat wewe , mwenzi na watoto.
Mizigo itatokana na cheo chako unachostaafia.
Pesa ya kufikia kama kawaida siku saba ambayo pia hesabu au kiwango hutokana na cheo ulichostaafia.
Kama hujaweka wazi vitu vyote tutakupigia vipi hesabu?
General standing order ambayo inatoa madaraja ya mizigo . Say, senior nurse . Kuna mahali mimesoma kuwa mizigo ilipunguzwa kutoka tani 5 to 3...... waraka huo naweza kuupata wapi. My google search could not bear fruits!
 
Ngoja nipekue nikiuona takutumia
 
Back
Top Bottom