Mwenye Nacho Ataongezewa

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Kiukweli tangu nimezaliwa hadi nakua na kupata ufahamu ndani ya nchi hii ya Tanzania naona serikali karibu zote zilizopata kutawala zinateua watu wale wale ambao tayari walishaitumikia nchi na Kula keki ya Taifa kuweza kutumikia nafasi mbalimbali za uongozi sasa najiuliza kuwarudisha kazini waliostaafu ni kwamba wananchi wengine wenye sifa ya kukalia hizo nafasi wameisha au ndo nchi ina wenyewe hii!?? Suala la ajira kwa vijana limekaliwa kimya lakini kuteua waliopitia kwenye nyadhifa mbalimbali ndo kwingi
Ama KWELI ALIENACHO ATAONGEZEWA NA ASIENACHO HATA KILE KIDOGO ALICHONACHO ATAPOKONYWA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom