Hauna ubaya wowoteLakini mods wanakodolea macho huu uzi mkuu!
Pepo mchafu wa hudhurungi iliyochanganyikana Na samawatiDadaake pole nakupenda sana ila pale huna mume bali una pepo (am sorry to say this) 😳 😳
Siku moja kwenye ishu za miamala ya kufanya malipo ya serikali pale bandarini kwetu nikakosea Baada ya kulipa elfu hamsini nikalipa laki 5 tasilimu kwa njia ya mtandao1 Wizi wa kuuwa wanasiasa
2 Wizi wa kuuwa wanafunzi
3 Wizi wa kupotea Watanzania wenzetu
4 Wizi wa madaraka
5 Wizi wa kodi kwa wanyonge
6 Wizi wa rasilimali ya taifa
7 Wizi wa kuhujumu democracy nchini
DuuuSiku moja kwenye ishu za miamala ya kufanya malipo ya serikali pale bandarini kwetu nikakosea Baada ya kulipa elfu hamsini nikalipa laki 5 tasilimu kwa njia ya mtandao
Fujo zangu za kufuatilia nirudishiwe kilichozidi zilinifikisha kwa kamishna na kuambulia jibu la SIRIKALI HUWA HAIRUDISHI CHENCHI...!!! Nilichoka
Waandishi wa habari je?1 Wizi wa kuuwa wanasiasa
2 Wizi wa kuuwa wanafunzi
3 Wizi wa kupotea Watanzania wenzetu
4 Wizi wa madaraka
5 Wizi wa kodi kwa wanyonge
6 Wizi wa rasilimali ya taifa
7 Wizi wa kuhujumu democracy nchini
Halafu bahati mbaya sana hawalogeki 🙁 🙁 🙁Kosea Miamala Yote Ila Ikiingia Kwenye Account Ya Serikali Hapo Ndiyo Utajua Kwanini Paka Havuki Mto Tra Mwanza Laki 7 Tangu 2013 Mpaka Nikasamehe Pigwa Danadana Mwanzo Mwisho Wakati Makosa Yalikuwa Yao
8 Wizi wa RAMBI RAMBI za Wahanga wa TETEMEKO Kagera1 Wizi wa kuuwa wanasiasa
2 Wizi wa kuuwa wanafunzi
3 Wizi wa kupotea Watanzania wenzetu
4 Wizi wa madaraka
5 Wizi wa kodi kwa wanyonge
6 Wizi wa rasilimali ya taifa
7 Wizi wa kuhujumu democracy nchini