Mwenye Mbuzi wake akamchukue jamani.

aende bibi au babu kumchukua tena atembelee mkongojo
 
Mdhaniavyo ndivyo sivyo nenda mkachukue mbuzi wenu.
 
Hapo haendi mtu.

Juzi TANGA waliua Konda wa Hiace.
 
Hahahahah kwan wanakufanya nn ukienda kumchukua?
 

Kwenye barua kuna maneno 'mbuzi amekamatwa' halafu 'akila miti ya bustani' halafu 'akizurura'. Kwanza wataangalia sheria ya mifugo ambayo tayari imevunjwa na mwenye mbuzi, pili kuharibu bustani.

Kama mimi ndio mwenye huyo mbuzi basi nina-assume mbuzi kaliwa na simba hivyo hamna namna ya kumrejesha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…