Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer

Rekebisha hiyo peper iwe paper. Na sio assistance ni assistant, ulikuwa na usingizi. Nasubiri wachangiaji hayo maswali sina
 
Siku zote mlikuwa mnalala tu mkeka umetoka mnaanza kuhangaika mimi huwa nikiomba tu nafasi misuli inaanza ya ilo somo ukisubiri majina wiki moja lazima usome mpk uchanganyikiwe
 
Back
Top Bottom