Mwenye master code ya receiver mediacom 910

allicious

Member
Jun 3, 2013
41
4
wakuu nna receiver hapa media com 910 nikiingia kwenye installation inaomba password, na fundi aliyeiweka simpati, kwa mwenye master code anisaidie pls, natanguliza shukurani!
 
jaribu 0000 ikigoma basi peleka kwa fundi ataiformat kwa kutumia receiver nyingine mkuu
 
0000 nimejaribu imegoma hata 1234 pia imegoma, nilijua na yenyewe ina master code kama mediacom 930 maana ya hii 930 najua ni 9876.
 
Back
Top Bottom