Hiyo bei unayotaka labda uende kununua dubai, ila kibongobongo hupati LED isoipokuwa utapata LCD screen.
labda upate mtu ambae anahama nchi akupe tu km zawadi kwa bei hiyoMtu mwenye LED flat screen kama anauza ani pm iwe nzima nchi 32 angalau offer yangu 350, 000/-