• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mwenye LED screen inahitajika

Dadio

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
359
Points
195
Dadio

Dadio

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2012
359 195
Mtu mwenye LED flat screen kama anauza ani pm iwe nzima nchi 32 angalau offer yangu 350, 000/-
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,477
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,477 1,195
Hiyo bei unayotaka labda uende kununua dubai, ila kibongobongo hupati LED isoipokuwa utapata LCD screen.
 
Mabreka

Mabreka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Messages
709
Points
0
Mabreka

Mabreka

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2012
709 0
Mtu mwenye LED flat screen kama anauza ani pm iwe nzima nchi 32 angalau offer yangu 350, 000/-
labda upate mtu ambae anahama nchi akupe tu km zawadi kwa bei hiyo
 
gpblaze

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
304
Points
0
gpblaze

gpblaze

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
304 0
Haiwezi kuwa nzima hyo kwa bei hyo utapata mbovu.kwanza led zimetufikia juzi tu.iweje mtu auze.atakuuzia mbovu. Nashauri uache tu
 

Forum statistics

Threads 1,404,585
Members 531,667
Posts 34,458,222
Top