black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,247
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji2969]hongera mkuu, mungu awatangulie safari yenu iwe ni yenye baraka tele
Ondoa shaka kabisahahahaahhaa hongera sana akhy......utupe mualiko rasmi tuje kula pilau.....allah alifanye kweli jambo lenu....
osssssss..Ondoa shaka kabisa
Ahsantee Sana [emoji1625][emoji1625][emoji1625][emoji1625]osssssss..
CreditAnalyst unakwama wapi mama...... wala huna haja ya kumsumbua mtoa mada.....em ujage PM tuyajenge na sisi tupange tarehe ya harusi haraka sana......baada ya vetting ya kiwango cha afisa usalama wa cuba kupita....Jamani Acheni kututia wivu sisi wengine... Mwisho tupate husda mioyoni mwetu...
Nakwama hapo hapo.kwenye kupata mwenza wa maisha...KILA nipepesa jicho naona wapenzi wameshibana dooh...CreditAnalyst unakwama wapi mama...... wala huna haja ya kumsumbua mtoa mada.....em ujage PM tuyajenge na sisi tupange tarehe ya harusi haraka sana......baada ya vetting ya kiwango cha afisa usalama wa cuba kupita....
naahidi kuwa furaha yako ukiwa umevaa na kinyume chake...
asante..
jamanii....usiseme hivyo sasa utasababisha na mimi nipate mfadhaiko wa ndani kwa ndani.....usiwe unakata kata tamaa kwenye maisha.....sawa?!..Nakwama hapo hapo.kwenye kupata mwenza wa maisha...KILA nipepesa jicho naona wapenzi wameshibana dooh...
Kama huyu mleta Uzi amenifanya niangaze kulia na kushoto kumtafuta mahabuba wangu.... Haha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kweli usemavyo lakin katika iman siamini katika Hilo maana mdomo huumba mazuri au mabaya. Kila jema huletwa na jema na Kila baya huja kwa ubaya tukiondoa hiz fikra Basi kila kitu kitakuwa vizuri.ila tukishajenga fikra hvyo Basi hata siku akichelewa kurudi nyumbani kwa kukosa usafiri Basi tutaanza si unaona keshabadilka huyu alikuwa anahtaji ndoa tu.kukogombana kupo katika ndoa hakuna mkamilifu,Kuna makosa ya kusameheka na mengne huwez kusamehe.cha msingi kila mmoja kumuombea heri mwenzie ili Allah amuepushe na madhira ya dunia." Dawa ya Moto Sio kuukimbia Moto Bali kuingia Moto"80% wanakuwaga hivyo wakitaka jambo lao!
Mkuuu...Mbona hutupendi wanawake.jamani...hata Wewe ukitakaga kugegeda si hua unatumia kugha nzuri..na uongo mwingi na hela ya kusuka twendw kilioni hua unatao..80% wanakuwaga hivyo wakitaka jambo lao!
Notedjamanii....usiseme hivyo sasa utasababisha na mimi nipate mfadhaiko wa ndani kwa ndani.....usiwe unakata kata tamaa kwenye maisha.....sawa?!..
Mi nakupenda wewe mbona tena nataa nkuoe kabisa mamiiMkuuu...Mbona hutupendi wanawake.jamani...hata Wewe ukitakaga kugegeda si hua unatumia kugha nzuri..na uongo mwingi na hela ya kusuka twendw kilioni hua unatao..
Mwanamke nae anambinu zake...
Mkuu ukiandika uwe unatumia.paragraphNi kweli usemavyo lakin katika iman siamini katika Hilo maana mdomo huumba mazuri au mabaya. Kila jema huletwa na jema na Kila baya huja kwa ubaya tukiondoa hiz fikra Basi kila kitu kitakuwa vizuri.ila tukishajenga fikra hvyo Basi hata siku akichelewa kurudi nyumbani kwa kukosa usafiri Basi tutaanza si unaona keshabadilka huyu alikuwa anahtaji ndoa tu.kukogombana kupo katika ndoa hakuna mkamilifu,Kuna makosa ya kusameheka na mengne huwez kusamehe.cha msingi kila mmoja kumuombea heri mwenzie ili Allah amuepushe na madhira ya dunia." Dawa ya Moto Sio kuukimbia Moto Bali kuingia Moto"