Mwenye kujua tiba ya kidakatonge kirefu

Mwenye kujua tiba ya kidakatonge kirefu

Kapumpuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
2,280
Reaction score
3,010
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nimekuwa na tatizo la kuwa na umio mrefu (Kale ka mkia katikati ya koromeo Kwa ndani), wengine huita kidakatonge.

Sasa nataka kupata namna ya kukapunguza pasipo kukata Kwa kawaida.. Yaani kama Kuna dawa zinapatikana ambazo nikitumia basi kaishe kenyewe.

Naleta kwenu hili jambo maana najua hapa JF nitapata msaada.
 
Nasikia hospitali hawakubali kama kuna hili tatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom