Mwenye kujua Sera ya CHADEMA atuwekee hapa

Mwenye kujua Sera ya CHADEMA atuwekee hapa

Sera kuu ya chadema ni kuhakikisha UTAWALA WA KISHERIA unalindwa ndani ya nchi hii , kuhakikisha majukumu ya polisi yanabakia kuwa USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO , KUONDOA WANAJESHI NA POLISI KWENYE SIASA ( Dc's na Rc's )

Kuondoa umasikini uliokithiri kwa kiwango cha kutia aibu ndani ya nchi , kurudisha demokrasia ndani ya nchi .

Kuhakikisha ajira za kutosha miongoni mwa wote wanaostahili .

Kulinda haki za wawekezaji ili kuwezesha mahusiano bora ya kimataifa .

Kuhakikisha kila mtuhumiwa anashitakiwa haraka kulingana na utaratibu wa sheria badala ya kuwashikilia kwa mamlaka ya mungu mtu .

Kurejesha mali zote za umma zilizoshikiliwa na chama kimoja cha kisiasa kwa njia za uporaji na wizi wa waziwazi ( viwanja vya soka na majengo )

Kwa maelezo zaidi ingia hapa Erythrocyte.com
Aiseeee !!
 
Back
Top Bottom