Mwenye kujua Sera ya CHADEMA atuwekee hapa

Salaam kwenu,

Kila mtu anajua siasa ila si wote wanatambua mahitaji ya siasa za upinzani. Nimesema hili ili kila mtu atoe anavyoona juu ya hili. Sijaandika ili kufanya siasa za upande ila nimeangalia zaidi kwa upinzani, ili tupate mwanga wa nini kinaendelea ndani ya vyama vyetu.

Katika kitu ambacho sahizi kinasumbua watu wengi hasa wasomi ni sera na falsafa ya maendeleo ya vyama vya upinzani hapa Tanzania.

Sera inaweza kuwa ya muda mfupi na muda mrefu. Maranyingi sera za muda mrefu ndo zinazosaidia sana kukuwa kwa chama na kukuza makada wa chama. Hii ina maana kuwa hakuna kiongozi au mwanachama atasimama bila kuongea hicho kinacholengwa na chama.

Ninavyoona kwa sasa, sijaona hicho na hivyo vyama vyote vimekosa falsafa ya taifa.

Pili ni sera za muda mfupi. Hizi utekelezaji wake huwa wa muda mfupi na unatekelezwa kwa wakati. Hii pi imeonekana kabisa kuwa vyama vyetu vimekosa sera hizi.

Zaidi ya yote, imefanya vyama hivi vionekane havipo. Matokeo ya kuzidi kuporomoka kwa Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA imeanzia hapa.

Sera za muda mfupi za chama zimekufa. Wanategemea matukio ya JPM ndo wao wasema chochote. Lakini ukiangalia majukwa yanayotumika kuyasema ya JPM yangfaa sana kuelezea yale wanayolenga.

Hapa ndo penye utata. Kila mtu amekuwa akiongea kwa jinsi anavyotaka. Mbowe amepotea sana kwa siku hizi na zaidi akipata muda analalamika zaidi kuliko kuelezea sera mbadala ya kinachoendelea.

Kuna watu wanasema, mikutano ya kisiasa ni sera ya chama. Si kweli, HAKI na inaweza kudaiwa kwa namna yoyote ila na ikawa wasimamie wanachoamini na wapeleke mahakamani. Cha ajabu ni pale wanapotishia kwenda mahakamani harafu hawaendi.

Hebu tuelezane, kuna mwenye kujua sera ya CHADEMA?????
Tutaenda ikulu kwa huruma ya Watanzania.
 
Ni kusanyiko la wahuni ...hata ofisi iko mitaa ya hatari hatari tu.
 
Sera kikiwa ni kama Saccos au chama cha siasa kinachojipambanua na kuwakaribisha watuhumiwa mafisadi na kuwasafisha na kuua ajenda ya ufisadi au unamaanisha nini swali lako
 
Sera ya CDM ni kupinga CCM kwa kila kitu, kwa hali na mali.. Teh teh
 
Sera kuu ya chadema ni kuhakikisha UTAWALA WA KISHERIA unalindwa ndani ya nchi hii , kuhakikisha majukumu ya polisi yanabakia kuwa USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO , KUONDOA WANAJESHI NA POLISI KWENYE SIASA ( Dc's na Rc's )

Kuondoa umasikini uliokithiri kwa kiwango cha kutia aibu ndani ya nchi , kurudisha demokrasia ndani ya nchi .

Kuhakikisha ajira za kutosha miongoni mwa wote wanaostahili .

Kulinda haki za wawekezaji ili kuwezesha mahusiano bora ya kimataifa .

Kuhakikisha kila mtuhumiwa anashitakiwa haraka kulingana na utaratibu wa sheria badala ya kuwashikilia kwa mamlaka ya mungu mtu .

Kurejesha mali zote za umma zilizoshikiliwa na chama kimoja cha kisiasa kwa njia za uporaji na wizi wa waziwazi ( viwanja vya soka na majengo )

Kwa maelezo zaidi ingia hapa Erythrocyte.com
 
Mkuu sera ni mipango ya maendeleo ya taifa. Nini mipango ya CHADEMA ambayo inaonyesha ni mbadala kwa maendeleo ya taifa hili.
Sera kikiwa ni kama Saccos au chama cha siasa kinachojipambanua na kuwakaribisha watuhumiwa mafisadi na kuwasafisha na kuua ajenda ya ufisadi au unamaanisha nini swali lako
 
Sijajua mkuu unataka sera katika jambo gani hasa. Maana sera zipo katika mambo tofauti tofauti, hebu weka wazi unataka kujua sera katika nini hasa.
 
Sera ya chadema ni kuichukia serikali kwa nguvu zote

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ya ccm ni ipo? Kuzuia mikutano na kukamata wapinzani?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mi ni mwanachama ila hapo pananipa shida,nimejaribu hata kuwatafuta viongozi wangu wa juu wanieleweshe bila mafanikio,ila cha msingi tu ni kuwa unaweza kuwa na sera ila ukashindwa kuimplement,muhimu ni kuwa Cdm wanatoa changamoto kwa ccm na mimi ninachohitaji ni kuwa ccm wasijisahau wawe na mshidani wa karibu atakae wakimbiza na kuwafanya akili yao isilale,siku upinzani ukishinda nahamia Ccm.asante.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
mkuu sera kuhusu nn? maana kwa uelewa wangu sera ni kma msimamo juu ya kitu flan sasa ww unataka sera ktk nn?

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mi ni mwanachama ila hapo pananipa shida,nimejaribu hata kuwatafuta viongozi wangu wa juu wanieleweshe bila mafanikio,ila cha msingi tu ni kuwa unaweza kuwa na sera ila ukashindwa kuimplement,muhimu ni kuwa Cdm wanatoa changamoto kwa ccm na mimi ninachohitaji ni kuwa ccm wasijisahau wawe na mshidani wa karibu atakae wakimbiza na kuwafanya akili yao isilale,siku upinzani ukishinda nahamia Ccm.asante.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app

Kwa hiyo kwa maneno yako haya mawili unataka kusema CCM hawajalala. Unaangalia vigezo gani, au Mgfl kakushawishi kuamini kuwa CCM iko active?? Hivi unafahamu kwa nini Magufuli kaamua kupiga marufuku harakati za vyama vya siasa vya upinzani?? Je, CCM ingekuwa active kuliko vyama vingine angepiga marufuku siasa za vyama vya upinzani?? Jaribu kufikiri kwanza wewe mwenyewe kabla hujaambiwa na mwingine
 
Sera kuu ya chadema kwa sasa ni kulinda haki za mafisadi popote pale walipo ndani ya jamhuri ya tz, bila kujali rangi, kabila, jinsia nk!

Sent from my HUAWEI G510-0200 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom