Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
dhumuni langu la kusoma ni kutafuta pesa samahani hayo mengine yakwako.Tena kama una njaa katafute msosi ule we baba koma .Nchi ibadili wewe mimi natafuta pesa
hahaha loh!! Maneno yako tuu! Et mabadiliko wabunge wenyewe hawaonesh mfano 2takuwa siye?? tafuta pesa mwaya ndo mpango mzmaaaa!!