Nimefanya kautafiti kangu kasiko rasmi, nimegundua na kujiridhisha kwamba, mtu wa Muarobaini nyoka hakai na hata wadudu wengi huwezi kuwakuta. Kautafiti haka nimekafanya kwa kuuchunguza sana mti wa Muarobaini uliopo nyumbani.
Kwanini nyoka na wadudu wengi wanaugwaya mti huu?
Asili ya mtu huu ni wapi? (Afrika,Ulaya, Amerika, Asia au kwingineko?)
Kwanini uaitwa Muaraooaini?
Kwanini nyoka na wadudu wengi wanaugwaya mti huu?
Asili ya mtu huu ni wapi? (Afrika,Ulaya, Amerika, Asia au kwingineko?)
Kwanini uaitwa Muaraooaini?