Mwenye kujua kusoma ramani jamani.

Mwenye kujua kusoma ramani jamani.

Roof plan zinaweza kuwa na vipimo pia kama vya kwenye floor plan, inategemea na level ya detailing iliyofanyika
akikuletea isiyo na vipimo...?? Nina imani lazima utarudi kuoanisha baadhi ya vipimo ktk floor plan...!

sasa sijui uta hairisha kutoa ushauri au utasema imekosewa...

cross section ime kuwezesha kufahamu height sijui king post... na una weza pata kujua vingi kama angle iliyo tumika au itakayo takiwa kutumika uta shauri kama injinia

usikatishe tamaa tumia taaluma yako kusaidia wengine... ukiona data zina miss omba upewe au uliza nk...

tuwe na uwezo na uthubutu wa kusaidiana...
 
Ok rough estimate,
Consider bati za futi 9 (mita 3)

Ukipiga flat roof utatumia 55-60

Ukipiga mgongo wa tembo 70-80

Haya kazi kwako Ila by the way ramani haiko poa sana, Ila kwa kua ushajenga big up
 
Back
Top Bottom