Mwenye kujua kama tanzania kuna Microsoft branch office.

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Ni hivyo tu wadau, kama hawa microsoft wana tawi lao dar au vip nielekeze plz.
Nia, nataka nipeleke Black Original XBOX yangu amboyo imekomaa kuflash red light na kuomba servece au eti niwacheck customer care wao.
Nimejaribu njia zote nizozicheck youtube lkn haijakaa sawa,. au kama kuna fundi wa uhakika na hii kitu naomba mwanga.

Ni hayo tu. Thanks
 
Hebu wacheki UNIVERSITY COMPUTING CENTRE (UCC) - UDSM, wapo nao karibu kiaina, huenda watakupa details zitazosaidia kama si wao wenyewe kuwa ndo branch.
 
Poa mkuu, nitawacheck nafikili nitapata maelezo zaidi pale (ucc).
 
Ni hivyo tu wadau, kama hawa microsoft wana tawi lao dar au vip nielekeze plz.
Nia, nataka nipeleke Black Original XBOX yangu amboyo imekomaa kuflash red light na kuomba servece au eti niwacheck customer care wao.
Nimejaribu njia zote nizozicheck youtube lkn haijakaa sawa,. au kama kuna fundi wa uhakika na hii kitu naomba mwanga.

Ni hayo tu. Thanks

Original Xbox
 
Back
Top Bottom