wanaojua watakuja kukujuza. ila kwa taarifa yako tu TOFALI ndio BLOCK kwahiyo sio MATOFALI YA BLOCK,
Hee,Jf noma,yaani ukijamba tu watu watakuambia jana umekula kitu gani
wanaojua watakuja kukujuza. ila kwa taarifa yako tu TOFALI ndio BLOCK kwahiyo sio MATOFALI YA BLOCK,
Je Block kwa Kiswahili inaitwaje?Hapana, si kweli. Tofari ni brick ikiwa moja na bricks zikiwa nyingi, zipo za block na zipo za hollow na zipo za self locking na zipo za louver na aina nyingi nyingine. Usipotoshe watu. Halafu si "tofali" ni tofari.
Hee,Jf noma,yaani ukijamba tu watu watakuambia jana umekula kitu gani
Je Block kwa Kiswahili inaitwaje?
Haya acha kazi iendelee,
Halafu Faiza unanivutia kweli kwa uelewa wako,hivi hujaachika tu nikuoe?
Wewe nishakwambia kiko kijukuu changu ukitimiza masharti:
Kwa mali zao.
Kwa uzuri wao.
Kwa nasaba zao.
Kwa dini zao.
Vigezo vyote ninavyo, kasoro kimoja tu.
Najuwa, utakuwa ni mzima tu au siku hizi na nyie mnalazimika kupunguzwa kwa ajili ya UKIMWI?
Disqualified.