Mwenye Kujua bei za hizi pikipiki

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
habari wakuu naomba mwenye utaalam wa hizi piki piki bei pamoja na ubora wake nataka kutumia kwa matumizi ya nyumbani tu yaani kwendea kazini na kurudi nayo home hapa hapa Dar.

pikipiki_za_mtumba_20210123_124952_2.jpg
 
(1) Izo dirty bikes boss sio street. Hazina ata side mirrors. Utagombana na traffics.

(2) Itategemeana na brand. KTM Honda etc bei used nyingi ni 5M hadi 7 kutokana na condition na power.

(3) Hiyo ID ya Pikipiki za Mitunda Instagram ni Mwizi uyo usijichanganye.
 
Aisee maana nimeona anauza hadi 1.4 million nkaogopa
 
(1) Izo dirty bikes boss sio street. Hazina ata side mirrors. Utagombana na traffics.

(2) Itategemeana na brand. KTM Honda etc bei used nyingi ni 5M hadi 7 kutokana na condition na power.

(3) Hiyo ID ya Pikipiki za Mitunda Instagram ni Mwizi uyo usijichanganye.
Hivi XR 250L na XR 650L bei zake zikoje mkuu?
 
ndio kwanza nimeripoti kazini hata mwezi hujaisha naanza kutafuta mkuu hiyo 12 si mchezo ukizingatia ndio nipo kwenye ajira
Mkuu nakuhakikishia jichange ukifika 6m utapata mashine CBR zipo nyingi tu hapa hapa bongo uwe makini wasikupige
 
Back
Top Bottom