Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,370
Naam...gas ndio mpango mzima.Sikushauri otherways uwe mahali ambapo umeme sio wa kuwaza waza.
Lakini huu umeme wetu wa elfu hamsini utaenda kulifanya kabati.
Jipange mpaka 450 ukachukue lenye gesi na umeme.liko poa sana.