sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
Habarini wote..!Tafadhali napenda kufahamua bei ya "Ovener" ikiwa mpya Dukani ni sh ngap?? Kwa kuwa kuna mtu anataka kuniuzia na nimeiona ni mpya haijatumika ila mwenyekufahamu bei yake ya dukani kabisa anijuze nisije nikapigwa changa la macho saiz [emoji116][emoji116]