KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 739
Habari zenu wandugu
Nimemaliza kidato cha 6 wiki iliyopita.moja ya mipango angu ilikuwa ni kusomea nchini Russia kwenye chuo chochote.ninataka kusomea course yoyote iliyopo katika faculty ya political science.
Naomba mnijuze gharama za maisha russia ziko vipi?
Je kuna ubaguzi wa rangi?
Hali ya hewa iko vipi?
How about political stability?
Utamaduni wao uko vipi?
Starehe mbalimbali zinapatikana?
Huduma za kidini zipo ka makanisa na misikiti?
Mwenye kujua anitaarifu tafadhali kabla sijachukua application form
Update
Gharama za elimu ya russia zipo chini kiasi kwani ni chini ya milion 30 ila serikali yao inatoa asilimia 80 iliyobaki ndo mzazi anajichanga
Chakula na kodi ya hostel na nauli ni juu yako ka mwanafunzi