Mwenye kuijua Suzuki swift

Mwenye kuijua Suzuki swift

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,021
Reaction score
1,268
Natamani kuinunua hii gari kwa mishe zangu za hapa na pale.

Unfortunately mimi si mjuzi kwa kina wa magari.
Ningependa kutambua uwezo wa ulaji mafuta, uimara wake, upatikanaji wa vipuli ikiwa ni gharama ya vipuli hivyo kama ni himilivu kwa mtanzania wa kipato cha kati hapa nyumbani tz na mambo mengine muhimu utakayoona yanafaa kunishauri
 
wahaya wakishauza ndizi na kahawa sasa....sikia sasa nunua Bugatti veron😳
 
Natamani kuinunua hii gari kwa mishe zangu za hapa na pale.

Unfortunately mimi si mjuzi kwa kina wa magari.
Ningependa kutambua uwezo wa ulaji mafuta, uimara wake, upatikanaji wa vipuli ikiwa ni gharama ya vipuli hivyo kama ni himilivu kwa mtanzania wa kipato cha kati hapa nyumbani tz na mambo mengine muhimu utakayoona yanafaa kunishauri
Mkuu we ni Mpare?
 
Ndio boss nipe detail kama upo vzr upande huo
 
Back
Top Bottom