Mwenye kuijua Handeni anisaidie, nataka kufanya Kilimo cha Mahindi

Nilijua umeondoka na Lissu kwenda Belgium.
Shobo zote zile kwa Lissu Ila amekuacha?
 
Je swala la ufugaji ukoje huko? malisho yakoje huko? na thamani ya kununuwa bei gani kwa heka?
 
inategemea na mahali na mtu anaeuza ....
Kwakweli ningependa sana kama nitaweza kupata shamba na lisiwe barabarani kwaajili ya ufugaji, kuanzia segera mpaka msata kokote huko kungeanifaa sana kwa ufugaji, handeni nafikiri wengi walisha kimbilia huko yatakuwa yamepanda bei sana
 
Njoo kusini hasa lindi. Maeneo yapo ni makubwa na maji yapo. Wasukuma wanahamia kwa kasi sana. Chukua maneno yangu utanishukuru baadae...
 
Uzuri wa Handeni panafikika kirahisi sana na ni karibu sana na Dar.

Halafu ardhi bei chee sawa na bure wananchi bado hawajastukia kuwa ardhi ni mali.

Cost of living ziko very low hususa kwa wenye fixed income
 
Mahindi naweza pata wapi kwa Handeni na inakuwa miezi ipi ambayo bei inakuwa rafiki ?
 
Back
Top Bottom