Mwenye kuijua Handeni anisaidie, nataka kufanya Kilimo cha Mahindi

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,767
8,683
Naomba msaada wa mtu anayeijua Handeni hasa Vijijini nataka kwenda kulima Mahindi. Kuna mtu kaniambia niende. Kama hauna msaada usichangie hapa.
 
Handeni kuna kilimo cha kijungujiko tu (Kakilimo fulani tu ili watu wasife njaa )

Labda uende Kilindi ukalime maharage.
 
Siyo kweli Handeni kuna watu wanalima mpka eka mia tano, huwezi kusema hicho ni kilimo cha kuganga njaa. Handeni ni maeneo ambayo bado wakulima wanalima bila kutumia mbolea na kupata wastani wa gunia 20 kwa eka, sijui ni Handeni ipi unayoongelea wewe, tatizo la Handeni ni kupata nguvu kazi, watu wa kule hawataki kufanya kazi japo ni maskini wa kutupwa. Hivo ukitaka kulima jiandae kujenga kambi na kutoa watu nje ya maeneo.

Lakini pia uwe na roho ngumu make ukisha nunua shamba wataanza kukutisha kwamba hata ukilima hautopata mazao, wana uchawi wao wanahuita mchwa. Mchwa wanatumwa wanashambulia mahindi kipindi yanapoanza kubeba, Au watakutisha kuwa ukivuna watatuma panya wanashambulia mahindi yote, au unaona ,mahindi lundo ukipukuchukuwa unapata gunia mbili. Ukiwasikiliza utaogopa na kuliacha shamab ili wauze tena, ukikomaa hamna lolote utavuna.

Handeni unaweza kulima chochote, mahindi, ufuta, alizeti, karanga, mtama nk. Wewe tu utakavojipanga.
 
Naomba msaada wa mtu anayeijua Handeni hasa vijijini nataka kwenda kulima Mahindi. Kuna mtu kaniambia niende. Kama hauna msaada usichngia hapa.
Tatizo la Handeni ni kupata nguvu kazi, watu wa kule hawataki kufanya kazi japo ni maskini wa kutupwa. Hivo ukitaka kulima jiandae kujenga kambi na kutoa watu nje ya maeneo.

Labda nilikokuwa naishi hakuna mashamba, maana nimekaa kuanzia Kideleko, Kwa konje, Msaje, mpaka Mkata sikuona wakulima serious
 
Labda nilikokuwa naishi hakuna mashamba, maana nimekaa kuanzia Kideleko, Kwa konje, msaje, mpaka mkata sikuona wakulima serious

Huku Msaje (Kwaluwala) siku hizi kumekuja wageni Wambulu na wairaki wanalima na kufuga !

Nafurahia ujio wa wageni ili wenyeji waachane na mambo ya kichawi ambayo hurudisha nyuma maendeleo!

Wageni wa makabila mengine (wanyika) mnakaribishwa Handeni!
 
Tatizo la Handeni ni kupata nguvu kazi, watu wa kule hawataki kufanya kazi japo ni maskini wa kutupwa. Hivo ukitaka kulima jiandae kujenga kambi na kutoa watu nje ya maeneo.
Lakini pia uwe na roho ngumu make ukisha nunua shamba wataanza kukutisha kwamba hata ukilima hautopata mazao, wana uchawi wao wanahuita mchwa. Mchwa wanatumwa wanashambulia mahindi kipindi yanapoanza kubeba, Au watakutisha kuwa ukivuna watatuma panya wanashambulia mahindi yote, au unaona ,mahindi lundo ukipukuchukuwa unapata gunia mbili. Ukiwasikiliza utaogopa na kuliacha shamab ili wauze tena, ukikomaa hamna lolote utavuna.
Handeni unaweza kulima chochote, mahindi, ufuta, alizeti, karanga, mtama nk. Wewe tu utakavojipanga.

Uchawi mwingine ni sakizi!

Wakiona unavuna sana wanakupulizia na kukupeperusha uondoke Yani gobole litakapoelekezwa ndiko utaenda na nguo ulizovaa mwilini hakuna kuaga wala kuchukua begi lako la nguo na mavuno yako utawaachia!

Kwa hiyo ni kujipanga kumbambana nao baada ya muda wanaachana na wewe unaendelea kulima na kuuza!
 
Ardhi ya Handeni inafaa kwa kilimo cha mazao ya aina nyingi sana ya biashara na ya chakula!

Wachina wameshaanza kwenda huko kuwahi maeneo!

Karibu Handeni mje kuwekeza!
 
Msaje (Kwaluwala) siku hizi kumekuja wageni Wambulu na wairaki wanalima na kufuga !

Nafurahia ujio wa wageni ili wenyeji waachane na mambo ya kichawi ambayo hurudisha nyuma maendeleo!

Wageni wa makabila mengine (wanyika) mnakaribishwa Handeni!
Ila Handeni kuna maisha magumu mnooooo. Kwanza shida babalao ya kwanza ni maji.
 
Sana !

Maji ni shida kubwa tangu kabla ya Uhuru hadi leo!

Yani Handeni yote hata pale Handeni mjini (Chanika) enzi na enzi maji ni shida sugu!

Hospitali ya Wilaya pale bomani maji hakuna watu wanatoka mbali kufuata huduma pale lakini maji hakuna. Mashuleni, majumbani, stend n.k kila mahali hakuna maji.

Inasikitisha sana!
 
Labda nilikokuwa naishi hakuna mashamba, maana nimekaa kuanzia Kideleko, Kwa konje, msaje, mpaka mkata sikuona wakulima serious
Ulikuwa unapita barabara ya Lami wewe, nenda sehemu wanaita kwa mkono ndo kituo cha mwisho cha basi toka Dar, baada ya hapo elekea maeneo ya mashamabani huko kuna watu wa maekari ya mashamba ya mahindi, watu wana mashamba ya miembe huko. Handeni unaweza kulima mara mbili kwa mwaka na ukavuna, msimu wa vuli na masika ambayo nikuanzia mwezi wa pili.
 
Uchawi mwingine ni sakizi!

Wakiona unavuna sana wanakupulizia na kukupeperusha uondoke Yani gobole litakapoelekezwa ndiko utaenda na nguo ulizovaa mwilini hakuna kuaga wala kuchukua begi lako la nguo na mavuno yako utawaachia!

Kwa hiyo ni kujipanga kumbambana nao baada ya muda wanaachana na wewe unaendelea kulima na kuuza!
Hawana lolote hao ukishaenda usiangaike nao, wewe fanya kazi zako kimya kimya. Utalima na utavuna bila shida. Maneno yasikie waachie wao. Watapita shamabani kwako wataguna, ohooo mahindi yote haya ya nini? mwisho wa siku utapiga hela yako wao wanaendelea kuangaika na matunguli yao. Mtanguliza Mungu wako, kama hauna imani ya Mungu basi nenda nao sawa kwa hizo imani nyingine nyingine.
 
Huku Msaje (Kwaluwala) siku hizi kumekuja wageni Wambulu na wairaki wanalima na kufuga !

Nafurahia ujio wa wageni ili wenyeji waachane na mambo ya kichawi ambayo hurudisha nyuma maendeleo!

Wageni wa makabila mengine (wanyika) mnakaribishwa Handeni!
Mm Nikija huko nafata mademu tu
 
Mpaka kufika umri huo umeshawahi kwenda kwa waganga au mtaalamu yoyote wa dumba?
Kama bado hujawahi sikushaurii kabisaa mana utajifunzia huko
 
Siyo kweli Handeni kuna watu wanalima mpka eka mia tano, huwezi kusema hicho ni kilimo cha kuganga njaa. Handeni ni maeneo ambayo bado wakulima wanalima bila kutumia mbolea na kupata wastani wa gunia 20 kwa eka, sijui ni Handeni ipi unayoongelea wewe, tatizo la Handeni ni kupata nguvu kazi, watu wa kule hawataki kufanya kazi japo ni maskini wa kutupwa. Hivo ukitaka kulima jiandae kujenga kambi na kutoa watu nje ya maeneo.

Lakini pia uwe na roho ngumu make ukisha nunua shamba wataanza kukutisha kwamba hata ukilima hautopata mazao, wana uchawi wao wanahuita mchwa. Mchwa wanatumwa wanashambulia mahindi kipindi yanapoanza kubeba, Au watakutisha kuwa ukivuna watatuma panya wanashambulia mahindi yote, au unaona ,mahindi lundo ukipukuchukuwa unapata gunia mbili. Ukiwasikiliza utaogopa na kuliacha shamab ili wauze tena, ukikomaa hamna lolote utavuna.

Handeni unaweza kulima chochote, mahindi, ufuta, alizeti, karanga, mtama nk. Wewe tu utakavojipanga.
vipi kuhusu maeneo ya kabuku ?, napo mahindi yanakubali ?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom