Ni pharmacy au duka la dawa muhimu? Kama pharmacy cheti ni chako mwenye
Nilisema Pharmacy na si duka la dawa mhimu, nafahamu tofauti, ya hivyo vitu viwili, cheti ni cha mke wangu, so ww kama unania tuwasiliane kufahamu zaidi
nimekutumia pm.Ni pharmacy au duka la dawa muhimu? Kama pharmacy cheti ni chako mwenye