Ndugu zangu juzi niliweka taarifa kama kuna mtu anahitaji kununua duka la dawa "pharmacy" Lakini naomba kutoa ufafanuzi ili kupunguza maswali, Pharmacy iko kinyerezi eneo linaitwa Mbuyuni, ni sehemu nzuri kwa biashara maana kuna biashara nyingine tena na jumla ya flemu zilizopo ni 17 so ni center, pharmacy imekamilika na ina dawa ndani za kutosha huhitaji kuanza upya zinazofikia thamani ya 3.5m AC ipo, shelves ni za aluminium kuta zote nne, milango pia na meza yake, lina kibari na lesseni husika, so mwenye kuhitahi awasiliane nami privately siwezi kuandika namba yangu ya simu ktk hii taarifa kwa sababu za msingi, ahsanteni sana