Mwenye kufahamu undani wa biashara ya spea za gari tafadhali toa mchango wako hapa

Changamoto2015

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
773
313
Wadau wote ni matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya. Nawaomba nyote wenye kujua undani wa biashara ya kuuza spea za magari mtufahamishe. Hii ni kwa spea mpya pamoja na zile used.
Na je kwa wale wanaosafiri kwenda kufuata magari ambayo yamepata ajali kwa nchi kama japani, ningependa kujua biashara huwa inafanyiakaje hasa kwenye uingizaji wa hayo magari ambayo ni written off nje ya nchi, je ushuru unapangwaje na TRA?

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom