mwenye kufahamu movie/seasson kali

mwenye kufahamu movie/seasson kali

Nipo
Duh mkuu umenipa kazi maana mambo mengine hata ukieleza mbele ya watu watakuona mwehu tu labda tu nikuambie mimi nipo Kigoma na dunia hii inaendeshwa kwa uongo 99% muhusika mkuu GAVIN DORAN huyu ni shetani kichwa haifai kabla hujaongea kashajua unachotaka kuongea na ukimuuliza kajuaje anakupa sababu ebwana huyu hata kama nikuigiza hapana nahisi atakuwa na mkondo na shetani Marais wa nchi mbalimbali wanaenda Kumsaruti na kuchukua maelekezo mapya sisi huku tumekaa kalagabaho tunashangilia tu hatujui tunapopelekwa na hawa marais wanaandaliwa tangu wadogo bila wao kujijua wakisha maliza kampeni wakati wa kusubiri matokeo ndo wanajulishwa hapo walipofikia wamefikishwaje wanashindwa kukataa kujiunga na hao jamaa kwa hamasa ya urais na madeni ya kampeni IMESHEHENI MAMBO MENGI SANA MENGINE YA KIROHO HADI MDA MWINGINE NAKUWA SIOGOPI KUFA NAONA KAMA NI KUBADILI TU MAZINGIRA HATARI SANA NILISHAJITAHIDI KUJIRUDISHA KWENYE FIKRA ZANGU ZA ZAMANI NILISHASHINDWA MKUU NISAMEHE TU NIMESHINDWA HATA KUELEZA CHOCHOTE.
Nipo eneo ulilosema upo naweza kuja ukanipatia hzo nicheki mkuu
 
Samahani,Unaeza nijulisha web unayotumia maana 02 series nyingine hakuna.
Thanks.
Natumia uc browser kama ninachotaka hakipo kwenye torrent. Hua nadownload movies tu.

Nilidownload hiyo episode kwakua tulikua hatujakubaliana kama hiyo series inaweza kua downloaded. So nakuelekeza hii njia ila sijui kama itafanya kazi kwa season zote.

Nenda google

Search jina la series/ movie mbele weka 480p. Mfano Inside Man 480p

Index ya kwanza kutokea ingia hiyo hiyo, utazidownload huko.
 
Kwa wanaotaka kudownload series au movies au tv show nawashauli mtumie Terrarrium Tv,,, iko vzr sana ni app na iko Google sio playstore
 
Miongoni mwa series zangu kali kiwahi kuziona ni;

1) "Boardwalk empire"

2) "House of Cards"
daah aisee mkuu house of cards ni bonge la series vp hio boardwalk empire inafanana nayo? natafuta sana series zfananazo na house of cards aisee maana ina uhalisia, ntajie znge ulizocheki mkuu pengine ntazipenda pia, mi house of cards ndio series yangu bora kabisa zngne ni

the wire
the americans
if loving you is wrong
band of brothers
boston legal
 
daah aisee mkuu house of cards ni bonge la series vp hio boardwalk empire inafanana nayo? natafuta sana series zfananazo na house of cards aisee maana ina uhalisia, ntajie znge ulizocheki mkuu pengine ntazipenda pia, mi house of cards ndio series yangu bora kabisa zngne ni

the wire
the americans
if loving you is wrong
band of brothers
boston legal
Boardwalk empire inazungumzia kipindi cha Prohibition kule Marekani ambapo sheria ilipitishwa kukataza kuuza vilevi vya aina zozote. Sasa humo ndani kuna wabishi waliendelea na biashara hiyo na kubwa lao alikuwa ni Enoch Thompson. Sitaki niandike zaidi we icheki tu mwenyewe.
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom