za aina ipi mkuu? maana kuna politics, intelligence, malove nk, we unapenda zp? pia ungeorodhesha nawewe za kwako bro nasi tudownload, pia pitia huu uzi hapa Series (Special thread)hlw wakubwa habarini za hapa.naomba mnitajie movie/series kalii....nizi dwnld
Nimependa unavyoandika nikitaka kuandika kama wewe nifanyeje?hlw wakubwa habarini za hapa.naomba mnitajie movie/series kalii....nizi dwnld
za aina ipi mkuu? maana kuna politics, intelligence, malove nk, we unapenda zp? pia ungeorodhesha nawewe za kwako bro nasi tudownload, pia pitia huu uzi hapa Series (Special thread)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimependa unavyoandika nikitaka kuandika kama wewe nifanyeje?
Maudhui yake yakoje mkuu? Uko wapi you niangalie kama Naweza kuipata666 PARK AVENUE. (sema kwa sasa huwezi kuipata umoja wa mataifa waliikalia kikao wakaipiga ban ni nilibahatisha season 1&2 kilichotokea huwezi amini nakala zilizokuwa madukani zilinunuliwa zote na kwenda kuteketezwa).
Nitajie za intelligence mkuuza aina ipi mkuu? maana kuna politics, intelligence, malove nk, we unapenda zp? pia ungeorodhesha nawewe za kwako bro nasi tudownload, pia pitia huu uzi hapa Series (Special thread)
the americans(series)Nitajie za intelligence mkuu
Duh mkuu umenipa kazi maana mambo mengine hata ukieleza mbele ya watu watakuona mwehu tu labda tu nikuambie mimi nipo Kigoma na dunia hii inaendeshwa kwa uongo 99% muhusika mkuu GAVIN DORAN huyu ni shetani kichwa haifai kabla hujaongea kashajua unachotaka kuongea na ukimuuliza kajuaje anakupa sababu ebwana huyu hata kama nikuigiza hapana nahisi atakuwa na mkondo na shetani Marais wa nchi mbalimbali wanaenda Kumsaruti na kuchukua maelekezo mapya sisi huku tumekaa kalagabaho tunashangilia tu hatujui tunapopelekwa na hawa marais wanaandaliwa tangu wadogo bila wao kujijua wakisha maliza kampeni wakati wa kusubiri matokeo ndo wanajulishwa hapo walipofikia wamefikishwaje wanashindwa kukataa kujiunga na hao jamaa kwa hamasa ya urais na madeni ya kampeni IMESHEHENI MAMBO MENGI SANA MENGINE YA KIROHO HADI MDA MWINGINE NAKUWA SIOGOPI KUFA NAONA KAMA NI KUBADILI TU MAZINGIRA HATARI SANA NILISHAJITAHIDI KUJIRUDISHA KWENYE FIKRA ZANGU ZA ZAMANI NILISHASHINDWA MKUU NISAMEHE TU NIMESHINDWA HATA KUELEZA CHOCHOTE.Maudhui yake yakoje mkuu? Uko wapi you niangalie kama Naweza kuipata
Mimi siyo mpenzi wa series lakini hii post yako imefanya niingie online.Duh mkuu umenipa kazi maana mambo mengine hata ukieleza mbele ya watu watakuona mwehu tu labda tu nikuambie mimi nipo Kigoma na dunia hii inaendeshwa kwa uongo 99% muhusika mkuu GAVIN DORAN huyu ni shetani kichwa haifai kabla hujaongea kashajua unachotaka kuongea na ukimuuliza kajuaje anakupa sababu ebwana huyu hata kama nikuigiza hapana nahisi atakuwa na mkondo na shetani Marais wa nchi mbalimbali wanaenda Kumsaruti na kuchukua maelekezo mapya sisi huku tumekaa kalagabaho tunashangilia tu hatujui tunapopelekwa na hawa marais wanaandaliwa tangu wadogo bila wao kujijua wakisha maliza kampeni wakati wa kusubiri matokeo ndo wanajulishwa hapo walipofikia wamefikishwaje wanashindwa kukataa kujiunga na hao jamaa kwa hamasa ya urais na madeni ya kampeni IMESHEHENI MAMBO MENGI SANA MENGINE YA KIROHO HADI MDA MWINGINE NAKUWA SIOGOPI KUFA NAONA KAMA NI KUBADILI TU MAZINGIRA HATARI SANA NILISHAJITAHIDI KUJIRUDISHA KWENYE FIKRA ZANGU ZA ZAMANI NILISHASHINDWA MKUU NISAMEHE TU NIMESHINDWA HATA KUELEZA CHOCHOTE.
Mkuu usijisumbue huipati ng'o utachoambulia ni trailer tu.Mimi siyo mpenzi wa series lakini hii post yako imefanya niingie online.
Haijawa banned na UN ila ilikua cancelled na channel inayoionyesha kwakua ilipoteza viewers, walitoka milioni 7 mpaka milioni 4 na ukiamua kudownload inapatikana.
Maneno yako yanatia mshawasha ila hua sitoi data kudownload series.
Mmmh acha masikhara bossMkuu usijisumbue huipati ng'o utachoambulia ni trailer tu.
Sio masikhara boss ndo ukweli mwenyewe huo.Mmmh acha masikhara boss
Kwahiyo hapa najidanganya?Sio masikhara boss ndo ukweli mwenyewe huo.
the americans(series)
the hunt for the red october(movie)
bridge of spies( movie)
munich(2005)-movie
Poa jaribu tuone.Kwahiyo hapa najidanganya?
View attachment 815890
Nidownload moja niitume hapa? Ila utasubiri koz kipande kina MB 150 so itabidi niiconvert na HD Factory ili nipunguze MB za kuileta hapa.