mwenye kufahamu movie/seasson kali

mwenye kufahamu movie/seasson kali

Poa jaribu tuone.
Imeanza

Screenshot_2018-07-22-18-55-00.png
 
Mi nahitaji horror movies..
Ambazo ni zaidi ya kutishatisha
Sinister

Autopsy of Jane Doe

Conjuring

Conjuring 2

Annebelle

Annabelle Creation

Creep

Creep 2

Hostel

Wolf creek

Husk

Happy Death Day

The visit

The Other Side of The Door

The Babadook (Sikuipenda ila ni Box Office Success)
 
Sinister

Autopsy of Jane Doe

Conjuring

Conjuring 2

Annebelle

Annabelle Creation

Creep

Creep 2

Hostel

Wolf creek

Husk

Happy Death Day

The visit

The Other Side of The Door

The Babadook (Sikuipenda ila ni Box Office Success)
Safi kiongozi ngoja nizitafute..
Hii annabelle shughuli yake naijua
 
Duh mkuu umenipa kazi maana mambo mengine hata ukieleza mbele ya watu watakuona mwehu tu labda tu nikuambie mimi nipo Kigoma na dunia hii inaendeshwa kwa uongo 99% muhusika mkuu GAVIN DORAN huyu ni shetani kichwa haifai kabla hujaongea kashajua unachotaka kuongea na ukimuuliza kajuaje anakupa sababu ebwana huyu hata kama nikuigiza hapana nahisi atakuwa na mkondo na shetani Marais wa nchi mbalimbali wanaenda Kumsaruti na kuchukua maelekezo mapya sisi huku tumekaa kalagabaho tunashangilia tu hatujui tunapopelekwa na hawa marais wanaandaliwa tangu wadogo bila wao kujijua wakisha maliza kampeni wakati wa kusubiri matokeo ndo wanajulishwa hapo walipofikia wamefikishwaje wanashindwa kukataa kujiunga na hao jamaa kwa hamasa ya urais na madeni ya kampeni IMESHEHENI MAMBO MENGI SANA MENGINE YA KIROHO HADI MDA MWINGINE NAKUWA SIOGOPI KUFA NAONA KAMA NI KUBADILI TU MAZINGIRA HATARI SANA NILISHAJITAHIDI KUJIRUDISHA KWENYE FIKRA ZANGU ZA ZAMANI NILISHASHINDWA MKUU NISAMEHE TU NIMESHINDWA HATA KUELEZA CHOCHOTE.
Asee niingie mzigon na mm....!
 
-Altered Carbon
-Blacklist
-Six
-Legend
-MacGyver
-Taken
-Narcos
-Battlestar Galactica
-Strike Back
-Intelligence
 
Naomba mnitajie movies kali za maombi za kutisha
 
Mkuu kimya kingi!
Bora umeniquote nilishaupoteza uzi.

Hd Factory imenigomea kuipunguza hii video mpaka kua ndani ya mb 25
Hivyo nimerekodi kwa simu sekunde 15 kwa kuirusha ili uone kua ipo yote.
 

Attachments

Bora umeniquote nilishaupoteza uzi.

Hd Factory imenigomea kuipunguza hii video mpaka kua ndani ya mb 25
Hivyo nimerekodi kwa simu sekunde 15 kwa kuirusha ili uone kua ipo yote.
Sorry mkuu unatumia o2 tvseries ama??
 
Back
Top Bottom