Habari,
Mwenye ufahamu na kampuni nzuri ya clearing & forwarding au inayofanya importation services naomba tufahamishane.
Gharama ya usafirishaji kwa kutumia meli ni sh ngapi? Kwa Mzigo unaotoka Switzerland mpaka Tanzania kwa kilograms (kg)
Naomba kufahamishwa.