Mwenye kufahamu interview za Tanzania Postal Corporation

Mwenye kufahamu interview za Tanzania Postal Corporation

zawido

Member
Joined
May 28, 2015
Posts
14
Reaction score
1
Wanajamii naombeni Msaada wenu kuhusu interview za TPC( Tanzania posts corporation) niliomba nafasi ya marketing officer, nimepigiwa simu leo kwamba tarehe 24/07 saa 3:00 asubuhi nifike kwenye interview. Kwa aliyewahi kufanya naomba anijuze wadau!
 
Mnaanza written then inafuatia oral,written inakua ni general knowledge,oral wanaulza kuhusu organization yao na majukumu ya kazi uloiomba.mshahara wao sasa,unaweza kuzimia.
 
Mnaanza written then inafuatia oral,written inakua ni general knowledge,oral wanaulza kuhusu organization yao na majukumu ya kazi uloiomba.mshahara wao sasa,unaweza kuzimia.
mshahara wao upoje kaka ata Mimi wiki mbili zilizopita nilifanya interview ya oral
 
Tupeni figure kamili jamani kwan wanatoa sh ngapi au ni below 300k
 
Zawido kwani sasa hivi hapo ulipo unapata shs ngapi kwa mwezi?
+1 ni kubwa kuliko - 25 bora kidogo kuliko kukosa kabisa.
 
Duuuu !Wanaua jmn mhuu

Unataka kazi au mshahara? Chezea mshahara usichezee kazi. Juzi juzi Kuna graduate aliomba kazi inayostahili kufanywa na form four. Nenda kafanye usaili upate kazi. Mtaani sio rafiki kabisa. Mungu akusaidie upate kazi Posta ujenge heshima mtaani.
 
Ni kweli nimekubali ni kheri upate kidogo kuliko kukosa hata hicho kidogo !NASHUKURU WANA JAMII
 
Back
Top Bottom