Mwenye kuelewa kuhusu why-protein powder

naomba kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
253
213
Habarini za siku, mimi nina mwili mwembaba nimeambiwa nitumie iyo kitu ya kuitwa WHY-PROTEIN POWDER ili kupata mwili mkubwa na ulinawili

Naomba kujua je kuna madhara makubwa kutumia iyo kitu au
Mwenye kujua chochote anijuze

Karibuni
 
Huku utapata habari nyingi sana za kupotasha. Ukweli ni huu

Mwili hujengwa na protein, yaani mascles zinajengwa na protein.
Kila unapo activitiy yoyote, iwe kucheza mpira, kutembea au kufanya mazoezi ya chuma, una hua misuli.

Kadri unavyofanya mazoezi mengi, ndio unavyozidi kuuwa misuli.
Ili kurepair misuli iliyo haribika, unahitaji protein.

Kwahiyo kazi ya protein ku repair na kujenga misuli. Wakati ina repair misuli, protein itaongeza ujazo wa misuli ili kuisaidia kukabiliana na kilicho sababisha misuli kuaribika. Hivyo misuli inayojengwa inakuwa mikubwa kuliko ya mwanzo.

Tatizo sasa, chakula tunachokula, unakuta hakina kiasi cha kutosha ya protein kuweza ku repair misuli uliyo iharibu wakati wa mazoezi, hasa kama unafanya mazoezi sana.

Hapo ndo WHY PROTEIN inapo kuja. Kazi yake ni kukupa protein ya kutosha kujenga misuli.

Asikwambie mtu kuwa ukila protein bila kufanya mazoezi utajaa, hapana.

Kazi ipo kwenye kuchagua why protein. Maana zipo nyingi. Hapo angalia content ya hiyo protein.

Kwanza angalia kiasi cha protein unayoipata kwa kila kijiko chake kimoja.

Pili angalia kiasi cha energy/calories. Hii inasaidia kukupa nguvu ya mazaoezi. Ila ni hatari pia. Ukila calories nyingi sana kuliko kiasi cha mazoezi unayofanya, hiyo calories ina vunjwa na kuwa fat yaani nyama uzembe.

Kwahiyo kuwa makini kwenye kuchagua.
 
Inapatikana wapi hiyo kitu?

Mtoa mada kataka kujua kama akila bila mazoezi ataongezeka uzito au laah

mrejesho kijana
Habarini za siku, mimi nina mwili mwembaba nimeambiwa nitumie iyo kitu ya kuitwa WHY-PROTEIN POWDER ili kupata mwili mkubwa na ulinawili

Naomba kujua je kuna madhara makubwa kutumia iyo kitu au
Mwenye kujua chochote anijuze

Karibuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom