BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Ukiwa na AMAZON Kindle android app, au Kindle for Windows PC.maana sio kila mmoja atakua na uwezo wa kukinunua, anauza kama 90$
https://www.amazon.co.uk/101-Ways-Make-Money-Africa/dp/1320351018
Hivi hard copy za vitabu?Ukiwa na AMAZON Kindle android app, au Kindle for Windows PC.
Waweza kukipata kwa TZS 25,000 tu.
Kama upo interested kukinunua ni txt whatsapp 784 496 856
Na nitakuwezesha kupata copy yako:Code:https://www.amazon.co.uk/101-Ways-Make-Money-Africa/dp/1320351018
Zaidi nitembelee kwenye hii thread: www.bit.ly/101buy4me
Naomba sana kuna hicho kitabu nimeweka cover picha yake hapo chini naomba kwa yeyote ambae ataweza kukipata basi sio vibaya na hatapungukiwa na chochote kama ataweza kushea nasi haswa wadau wa jukwaa hili la biashara, uchumi na ujiasiriamali..
Amazon huwa wanauza HARDCOPY na SOFTCOPY.Hivi hard copy za vitabu?
Ahsante sana mkuu kwa moyo wako Wa kutoa ...wengine walikuwa washaanza kutufanyia udalali
Thanx...huu uzi nili subscribe toka nilipouona.Thanx once again
Dah ubarikiwe sana ndugu yangu aisee hujui umenipa kitu gani aise ...asante sana Mwl.RCT
Shukrani mkuu @ de play boyNtafute 0744351411 watsapp nkupe for free
Karibu kiongozi...Asante kwa KITABU KIZURI.
Haina nakala ya kiswahili mkuuHuna na kara za kiswahili ?
Asante Mwl.una moyo mzuri sana. Nimekuwa natumia sana huduma zako na umekuwa mwaminifu sana. Mungu aendee kubariki huduma yako.Amazon huwa wanauza HARDCOPY na SOFTCOPY.
Kwa softcopy waweza isoma kupitia KINDLE application, Ipataikanayo kwa simu za android na Windows PC