Unataka kioo tu au together with display ???
Touch Kariakoo ni kuanzia 30 000 kwenda mbele kutegemea na aina ya simu. Ila unatakiwa upate pia fundi mzuri. Aliyenisaidia kupata na kutengeneza tab na simu yangu naweza kukuunganisha nae if you like. Unamuambia aina ya simu, anakuangalizia kama ipo,anakupa bei ndo unaamua kama mkutane au la. Na uzuri wake ukitaka mnaongozana unalipia kioo mwenyewe na unakuwepo mpaka anamaliza kazi yako, ukiridhika ndo unamlipa yeye.
Aliye interested aniambie nimpe namba na huyo fundi nimjulishe.
Note 1 bei gani?Touch Kariakoo ni kuanzia 30 000 kwenda mbele kutegemea na aina ya simu. Ila unatakiwa upate pia fundi mzuri. Aliyenisaidia kupata na kutengeneza tab na simu yangu naweza kukuunganisha nae if you like. Unamuambia aina ya simu, anakuangalizia kama ipo,anakupa bei ndo unaamua kama mkutane au la. Na uzuri wake ukitaka mnaongozana unalipia kioo mwenyewe na unakuwepo mpaka anamaliza kazi yako, ukiridhika ndo unamlipa yeye.
Aliye interested aniambie nimpe namba na huyo fundi nimjulishe.