Naomba kama kuna aliye na keys za hili game anisaidie nime lidownload kumbe halina keys nimeshindwa liinstall maana process inahitaji keys kwanza nahurumia muda wangu nilio haribu kushusha hizi GBs

mkuu mbona unanifanya nijione nipo so yesterday as far as i know nilikuwa najua hili game linatoka mwezi wa kumi mwishoni wewe unaomba key zake leo inakuwajekuwaje???
Mkuu nahisi huyu aliyeweka hilo game kwenye web yake ni mjinga kaweka kitu gani sijui baada ya kukosa keys nimeingia web ya EA sports nikaona kuwa haijatoka