elimikamtanzania
Senior Member
- Feb 7, 2017
- 141
- 46
Habari wana JF
Kuna kijana ana elimu ya diploma kwenye maswala ya logistics and transport ( international diploma in logistics and transport)
Anatafuta nafasi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote ya logistics ilioko ndani ya jiji la Dar es salaam,ndani ya miezi sita bila malipo yoyote .Nia yake kujiongezea ujuzi kwenye maswala ya logistics.
Asante alie tayari ani PM niweze kukuunganisha naye