Hi wadau jaman naombeni msaada ninataka kuhost moodle site lakin napata matatizo ya kuseti dataroot mwenye ujuzi na haya mambo jamani naombeni msaada (+255-652868667)
angalia kuna file moja linaitwa config.php edit dataroot kulingana na sehemu unapotaka hilo folder liwe kama ulifanyia kwenye local machines litakuwa limedirect huko.