Mwenye idea ya kuhost moodle site naombeni msaada jamani

Zedekiah

Member
Jul 9, 2009
47
18
Hi wadau jaman naombeni msaada ninataka kuhost moodle site lakin napata matatizo ya kuseti dataroot mwenye ujuzi na haya mambo jamani naombeni msaada (+255-652868667)
 
angalia kuna file moja linaitwa config.php edit dataroot kulingana na sehemu unapotaka hilo folder liwe kama ulifanyia kwenye local machines litakuwa limedirect huko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom