Ni vema ukasema mtaji ulionao ni kiasi gani halafu ukapewa ushauri ni aina gani ya biashara unaweza fanya ukiachana na hiyo ya bar kwani ni chukizo mbele za MUNGU.Zipo biashara nyingi sana za kufanya si lazima ya baa na zinaweza kukupa faida nzuri sana.Si vema kutengeneza platform ya watu kuja kumkosea MUNGU.Tumuhofu MUNGU jamani.