MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 870 Reaction score 531 Jan 4, 2013 #1 Jamani peruzi peruzi mtandaoni nimekaona haka ka galaxy S DUOS S 7562 ki ukweli nimekapenda sasa mwenye uzoefu kanauzwa sh ngapi kwa hapa bongo pia ubora wake kwa matumizi ya kawawaida mfano kusulf nk.
Jamani peruzi peruzi mtandaoni nimekaona haka ka galaxy S DUOS S 7562 ki ukweli nimekapenda sasa mwenye uzoefu kanauzwa sh ngapi kwa hapa bongo pia ubora wake kwa matumizi ya kawawaida mfano kusulf nk.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Jan 4, 2013 #2 hizi ni 300K..
MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 870 Reaction score 531 Jan 4, 2013 Thread starter #3 Zinapatikana wapi au unazo mwenyewe