Mwenye hitaji la clearance ya mizigo bandarini

Mwenye hitaji la clearance ya mizigo bandarini

Naomba unisaidie taratibu gani nifuate kwani niliagiza gari japan kufika dar ikapigwa mnada na agent alinificha
Itapigwaje mnada bila mmiliki kujua kaka? Maana ili gari ipigwe mnada lazima mmiliki anaandikiwa barua ya kwanza ya kumjulisha kitakachotokea kwenye mzigo wake kama atakua hajaulipia mpaka kufikia tarehe flani itakayo kua imepangwa then baada ya muda huo kupita unaandikiwa barua tena kwa mara ya pili na hata kwa kupigiwa cm kwamba mpaka tarehe fulani gari yako itauzwa na hii anajulishwa moja kwa moja wakala na mmiliki wa mzigo otherwise labda ilitokea kama wewe kwenye document zako za manunuzi hukuweka anuani na contact zako halisi na wakala asikuambie but ikishapigwa mnada hakuna kesi maana utakua ulishapewa notesi mbili za kukujulisha
 
sasa pia naomba unijuze kaka..nimeingia kwenye website ya befoward kuna sehemu wameandika kwamba wanakusafirishia gar yako mpk mkoani kama mm nipo mbeya wananiletea mpk mby oficn kwao kwaiyo ghrma ya bandarini inakua juu yao au kwang mm?
 
na gari lililo ndani ya miaka 10 kodi za uchakavu hamna?
Mkuu gharama ya uchakavu "dumping fee" inatozwa kwa gari ya umri zaidi ya 8 yrs.hii ilibadilishwa july mwaka juzi na bunge.so la ten years hapo kuna two years ya dumping fee.
 
sasa pia naomba unijuze kaka..nimeingia kwenye website ya befoward kuna sehemu wameandika kwamba wanakusafirishia gar yako mpk mkoani kama mm nipo mbeya wananiletea mpk mby oficn kwao kwaiyo ghrma ya bandarini inakua juu yao au kwang mm?
Gharama za bandari watafanya wao then watakupa invoice ya malipo ambayo itakua imejumlisha na coast hizo za bandari na usafiri wa kuja mbeya
 
Back
Top Bottom