luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Aug 10, 2011 #1 Wanajamvi mwenye habari kuhusu maendeleo ya kuumwa waziri mwandosya atujuze. Maana tetesi bajeti ya wizara ya maji itasomwa na stephani wassira tarehe 22/8/2011
Wanajamvi mwenye habari kuhusu maendeleo ya kuumwa waziri mwandosya atujuze. Maana tetesi bajeti ya wizara ya maji itasomwa na stephani wassira tarehe 22/8/2011
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Aug 10, 2011 #2 Habari ninayo ila naiuza....
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Aug 10, 2011 #3 mbona jana nilimwona bar
Rungu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 3,931 Reaction score 1,728 Aug 10, 2011 #4 Gurta said: Habari ninayo ila naiuza.... Click to expand... Hiyo dili mtafute Shigongo na magazeti yake ya udaku!
Gurta said: Habari ninayo ila naiuza.... Click to expand... Hiyo dili mtafute Shigongo na magazeti yake ya udaku!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,029 Aug 10, 2011 #5 Rungu said: Hiyo dili mtafute Shigongo na magazeti yake ya udaku! Click to expand... Akifa ndo mtaweka kwenye daily news...?? Ndo wale wale wa kuwashiti wagonjwa lakini siku wakifa mnaleta makamera ya video na majeneza ya mamilioni.............
Rungu said: Hiyo dili mtafute Shigongo na magazeti yake ya udaku! Click to expand... Akifa ndo mtaweka kwenye daily news...?? Ndo wale wale wa kuwashiti wagonjwa lakini siku wakifa mnaleta makamera ya video na majeneza ya mamilioni.............
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,446 Aug 10, 2011 #6 Mwita25 said: mbona jana nilimwona bar Click to expand... mkuu comment zako nyingi unapenda utani wa kifala na haulipi kwa sababu ni issue serious
Mwita25 said: mbona jana nilimwona bar Click to expand... mkuu comment zako nyingi unapenda utani wa kifala na haulipi kwa sababu ni issue serious
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Aug 10, 2011 #7 Hii ni point tujuzeni bana.
luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Aug 10, 2011 Thread starter #8 director1 said: mkuu comment zako nyingi unapenda utani wa kifala na haulipi kwa sababu ni issue serious Click to expand... mkuu achana nae ni under 17.
director1 said: mkuu comment zako nyingi unapenda utani wa kifala na haulipi kwa sababu ni issue serious Click to expand... mkuu achana nae ni under 17.
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,550 Reaction score 2,200 Aug 10, 2011 #9 under 17 a.k.a minor! te te te te te! napita tafadhali, mtanijuza kama kapona prof.